Dec 2, 2011

Mtoto wa Teddy Kalonga, mashalaa!HATIMAYE mwanamitindo wa kimataifa, Teddy Kalonga ‘TK’ ambaye aliwahi kuwa mtangazaji wa Channel 5 a.k.a EATV amemuanika mwanaye hadharani baada ya kujifungua hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...