Feb 9, 2012

RAIS KIKWETE AKUTANA NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MAREKANI NA UJUMBE WAKE IKULU LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Bw. Johhnie Carlson na Ujumbe wake walipomtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam leo Februari 9, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Bw. Johhnie Carlson na Ujumbe wake pamoja na waziri wa Nishati na Madini Mh William Ngeleja walipomtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam leo Februari 9, 2012.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Bw. Johhnie Carlson alipomtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam leoFebruari 9, 2012.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...